Rasmi: Bei za chapati, maandazi zapanda

hali tete yabidi kufanya kazi kwa bidii na tumuombe Mungu ndiye anayeweza
 
Tutamuomba mwenyezi mungu mpaka lini wakati msababishaji tunamuona?
 
Nikitoka naacha milango ya choo wazi kuruhusu hewa iingie na mi natafuta sehemu ya upepo angalau nipulizwe kidogo
 
Asubuhi sahv watu wanakausha tu Ngoma mchana na usiku kula

Ova
 
Kama ndo wew wakenye Avatar...NIMEWEKA BILI YA CHAPATI NA MAANDAZI

Kula ntalipa miaka yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…