Rasmi: Bei za chapati, maandazi zapanda

Rasmi: Bei za chapati, maandazi zapanda

hali tete yabidi kufanya kazi kwa bidii na tumuombe Mungu ndiye anayeweza
 
Tutamuomba mwenyezi mungu mpaka lini wakati msababishaji tunamuona?
 
mkuu labda kwenu
Wewe ni kula kulala
Natafuta kazi

[emoji115] hata huo uzi wako unaonyesha kuwa huna kazi labda unafanya kazi ya kudanga mjini au unalelewa na wazazi wako so huwezi jua maisha kilaaaz+ wewe
Screenshot_20180504-140317.png
 
Nikitoka naacha milango ya choo wazi kuruhusu hewa iingie na mi natafuta sehemu ya upepo angalau nipulizwe kidogo
 
Asubuhi sahv watu wanakausha tu Ngoma mchana na usiku kula

Ova
 
Kama ndo wew wakenye Avatar...NIMEWEKA BILI YA CHAPATI NA MAANDAZI

Kula ntalipa miaka yote
 
Back
Top Bottom