Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura Jumamosi kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kufuatia jaribio lake lililoshindikana la kutangaza hali ya kijeshi, hatua ambayo ilisababisha machafuko katika taifa hilo.
Kura hiyo ilipigwa na wabunge wote 300ambapo 204 walikubali, 85 walipinga, huku kukiwa na kura tatu za kutokubaliana na nane kutangazwa kuwa batili.
Ili hoja hiyo ya Rais kuondolewa madarakani ipitishwe, ilihitajika idadi ya theluthi mbili ya kura.
“Wapendwa, sasa nendeni mkafurahie sherehe za mwisho wa mwaka,” alisema Woo Won-sik, Spika wa Bunge la Taifa, baada ya hoja hiyo kupitishwa.
Soma pia: Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi
Hoja hiyo ilisema kwamba tangazo la Yoon la hali ya kijeshi lilikuwa kinyume cha katiba na kinyume cha sheria kwa sababu hakukuwa na dalili zozote za dharura ya kitaifa, na alishindwa kufuata taratibu kama kutoa taarifa kwa Bunge mapema.
=============================================
South Korean lawmakers voted Saturday to impeach President Yoon Suk Yeol over his failed attempt to impose martial law, which plunged the East Asian democracy and key U.S. ally into chaos.
The vote was 204 in favor and 85 against, with three abstentions and eight votes ruled invalid. All 300 lawmakers in the unicameral National Assembly voted on the motion, which required a two-thirds majority to pass.
“Dear people, now go and enjoy the year-end parties,” Woo Won-sik, the speaker of the National Assembly, said after the motion passed.
The motion held that Yoon’s declaration of martial law was unconstitutional and illegal because there were no signs of national emergency and he neglected to follow procedural rules such as notifying the National Assembly in advance.
Source: Korea Times, NBC News