Rasmi derby ya kariakoo imekufa, Simba wamekuwa dhaifu kipindi kirefu

Derby haiwezi kufa, ila ukubwa wa match (Classico) utaendelea kupungua na kuhamia kwingine (vs Azam FC). Ni kama derby ya Real Madrid vs Atletico Madrid sio match kubwa ila Real Madrid vs Barcelona sio derby ila ni El Classico (Biggest match of Spanish League).

Few years to come El Classico ya Bongo inaenda kuwa Young Africans vs Azam FC.
 
Itakuwa jambo jema sana ikifa hiyo Derby, hapo ndipo potatokea mabadiliko makubwa katika sekta ya michezo.
 
Hivi unajua maana ya derby?

Unajua historia ya hivyo vilabu 2 vya Kariakoo?

Azam ana historia gani ya kiushindani kati yake na Yanga mpaka wanapokutana ndio iitwe derby?

Mavi matupu umeandika
Yanga vs Azam, Derby ya Dar es Salaam.
 
Kama hujui hata maana ya derby, huna haki ya kuongelea masuala yanayohusiana na michezo chura wewe.
 
nadhani marefalii ni chanzo
 
Amkeni mtakojoa mtie aibu. Simba na Yanga ukubwa wake unatengenezwa na idadi ya mashabiki. Siku ukiona Simba haina mashabiki na Azam inajaza uwanja wa Mkapa bila kucheza na Simba au Yanga ndo ongelea suala la ukubwa wa mechi kuhamia kwingine.
 
Kariakoo derby haiwezi kufa kizembe kama hivo, Simba watakung'utwa na Yanga hadi akili ziwakae sawa kisha watajipanga. Haya yatatokea misimu miwili mbeleni kuanzia msimu huu
Mechi tatu mfululizo dhidi ya simba ikifungwa kocha atafukuzwa niliwasikia wanazi wa simba
 
Hamna timu mle muzeye.
 
Ubaya,ubwegeeee
 
Msamehe bure
 
Catalunya derby ni Barcelona vs Espanyol, sio Mallorca.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…