Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Tarehe 24.06.2023 Imetokea tukio kubwa sana katika ulimwengu wa Burudani ya mziko pale Nchini Congo. Ilikua ni onesho la karne la muziki pendwa duniani.
Le Padre , Shetani Ferre Gola mwana wa Congo alikusanya Malaki ya binadamu hai wenye pumzi na akili.
Ni katika kutaka kukara kiu ya muziki walio ukosa kwa miaka mingi sana.
Onyesho hili wakati limenza kutangaza Kuna watu walibeza na wengine kupingiana kama ataweza kujaza hata busy ya uwanja mkuu wa Taifa la Congo STADE de Martyrs.
Saa dakika siku sikasonga na hatimae ukafaika wakati wa kukata kiu ya karne.
Kulitokea mafuriko ambayo hayakuwahi kushuhudiwa. Watu walijaa mpaka wengine KUKOPA pahala pakuweka unyayo.
Ferre Gola aliimba nyimbo zake zote mwanzo mpaka mwisho.
Watu alikua na kiu ya Rhuma ya ukweli Rhuma ya Baba Franco. Rhumba ya Congo Original. Ferre Gola anaaminika ndiye mrithi sahihi wa RHUMBA ya Congo.
Watu wazima walilia kwa furaha .
Wengine walikanyagana mpaka kupata majeruhi. Hii ilisabababishwa na polisi walio kuwepo kuacha kazi Yao na kujikuta wanasakata RHUMBA.
Hali ilikua Raha sana zaidi ya utamu. Ingia YouTube au TikTok ujionew. Video hizi hapa