Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mito tofautiUkifuatilia maji utakuta yametoka ziwa Victoria.
Huku kwetu tunateseka umeme na maji.
Kweli Mungu hakupi vyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mito tofautiUkifuatilia maji utakuta yametoka ziwa Victoria.
Huku kwetu tunateseka umeme na maji.
Kweli Mungu hakupi vyote
Hapana wao maji niya blue nile..sio haya ya white nile yanayotokea victoria.Ukifuatilia maji utakuta yametoka ziwa Victoria.
Huku kwetu tunateseka umeme na maji.
Kweli Mungu hakupi vyote
Nchi yetu imeshindwa kabisa kutumia maji yake kwa faidaHapana wao maji niya blue nile..sio haya ya white nile yanayotokea victoria.
Blue nile ndio ina peleka maji mengi zaidi ya 60% kwenye mto nile mkuu.
White nile inachangia 40% ya maji katika naili kuu..ingawa ina maji mengi sema maji hayo hukwama na kupotea sana katika eneo la sudd swamp.
#MaendeleoHayanaChama
Inasikitisha sana..ni mipango na sera mbovu zilizokosa usimamizi bora..hii nchi inahitaji reformation.Nchi yetu imeshindwa kabisa kutumia maji yake kwa faida
Hii ina maana bwawa la Nyerere linatakiwa liwe limeshaanza kufamua umeme kwa kuwa ni dogo la Ethiopia linafua umeme mara mbili yake na limechukua miaka 11 tu.Ujenzi wa bwawa la Ethiopia ulianza mwaka 2011 kwahiyo ni zaidi ya miaka 10 ndio umekamilika. Bwawa la Bongo limeanza kujengwa mwaka 2018,huu NI mwaka wa 4 harafu wewe unataka Likamilike. Bwawa letu litaanza kufua umeme mwaka 2025 kwenye Kampeni za CCM. Baada ya Hapo litafungwa kwa mda ili kupisha mgawo wa Umeme nao utambe.