Rasmi Ethiopia waanza kufua umeme kutoka Mto Nile, Nchi jirani zakasirika

Ukifuatilia maji utakuta yametoka ziwa Victoria.

Huku kwetu tunateseka umeme na maji.

Kweli Mungu hakupi vyote
Hapana wao maji niya blue nile..sio haya ya white nile yanayotokea victoria.

Blue nile ndio ina peleka maji mengi zaidi ya 60% kwenye mto nile mkuu.

White nile inachangia 40% ya maji katika naili kuu..ingawa ina maji mengi sema maji hayo hukwama na kupotea sana katika eneo la sudd swamp.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nchi yetu imeshindwa kabisa kutumia maji yake kwa faida
 
Hii ina maana bwawa la Nyerere linatakiwa liwe limeshaanza kufamua umeme kwa kuwa ni dogo la Ethiopia linafua umeme mara mbili yake na limechukua miaka 11 tu.
 
Hongera ahmed kwa kujenga Bwawa atakaye leta fyoko njooo utwambie sisi Bongo tutampiga mpaka alie poooo!! sasa na wewe jiunge EAC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…