Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hakika. Tofauti na hivyo, kila kocha atakuwa anakija Bongo kujipigia mihela.Tunaomba sasa tuwekeze na kwenye vyuo vya kukuza vipaji tokea chini, msiisahau na Riadha nayo inahitaji kushikwa mkono vyema. Ndondi nayo inawachezaji wachanga wanahitaji kushikwa mkono walitetee Taifa.
Kwakweli michezo imekwenda mbele sana tuache matamko na tuwekeze ktk kukuza vipaji na kutengeneza misingi bora ya wachezaji, tofauti na hilo tutaishi kwa matamko kila uchao.Hakika. Tofauti na hivyo, kila kocha atakuwa anakija Bongo kujipigia mihela.
Kwanza mashindano yaliyopita ni bahati kufika pale. Huyu hawezi kutufikisha popote