Akithubutu kutoka wcb kapotea mazimaHahaha mwacheni chalii kasha master skills za kufanya mziki unaopendwa kwa sasa.
Akithubutu kutoka wcb kapotea mazima
Na huu ujinga wake aliouanzisha wa kusifia hovyo. Hajui kuwa anajigawa
Mwacheni aendeleze mziki wake. Kishakua. Kachoka kunyonywa na kina babu Tale.
Bora umemuuliza?Si ameandika hapo WCB4LIFE?? Au ww umeelewaje hapo?
Mbona hapo imeandikwa wcb4life mtoa mada naona unautindio wa akiliStar namba moja wa Music Tanzania anaye wika kwa sasa Harmonize a.k.a Kondeboy ameachana na lebel yake ya Music WCB iliyo chini ya Mwanamuziki Diamond Platnumz.
Hii ni baada ya kubadirisha bio yake ya Instagram. Hapo awali ilikua ikimuonyesha Harmonize kuwa yupo chini ya lebel hiyo kwa utambulisho wa maneno haya SIGNED UNDER WCB
Ambapo hivi sasa ametoa maneno hayo. Hivyo hii inaonyesha kabisa Mwanamuziki huyo ametemana na lebel hiyo.
PichaView attachment 1174527