RASMI Harmonize aachana na WCB

RASMI Harmonize aachana na WCB

HB.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
608
Reaction score
639
Star namba moja wa Music Tanzania anaye wika kwa sasa Harmonize a.k.a Kondeboy ameachana na lebel yake ya Music WCB iliyo chini ya Mwanamuziki Diamond Platnumz.

Hii ni baada ya kubadirisha bio yake ya Instagram. Hapo awali ilikua ikimuonyesha Harmonize kuwa yupo chini ya lebel hiyo kwa utambulisho wa maneno haya SIGNED UNDER WCB

Ambapo hivi sasa ametoa maneno hayo. Hivyo hii inaonyesha kabisa Mwanamuziki huyo ametemana na lebel hiyo.

Picha
udakutz_-20190807-0001.jpeg
 
Sawa tu kwani yy mwenyewe anaweza jisimamia,cha msingi ajipange yy kama yy na ikiwezekana awabebe wasanii wengine wachanga kama yy alivyobebwa na Diamond.

Wasafi nao wasimwekee kinyongo kama airtime kwenye radio na tv aendelee kupewa kama zamani tusiwekeane vinyongo,kiroho safi.
 
Nafikiri sasa ndio mwisho wa muziki wake. Labda mzungu wake amempa dili nzuri zaidi ya kufanya tofauti na music... Ila kiukweli sioni nguvu ya Konde boi nje ya Wasafi anyways muda utaongea vizuri zaidi.
 
Hii ni Official au ni nyie tu mmeamua kusema hili jambo.. Think
Wengi wamekua wakishadadia juu ya kuondoka kwake WCB labda ndio kiki ameamua atoke nayo kwenye wimbo wake anaotaka kuachia.

BTW Don't kwanini niliposoma heading ya huu uzi roho imeniripuka no.!
 
Star namba moja wa Music Tanzania anaye wika kwa sasa Harmonize a.k.a Kondeboy ameachana na lebel yake ya Music WCB iliyo chini ya Mwanamuziki Diamond Platnumz.

Hii ni baada ya kubadirisha bio yake ya Instagram. Hapo awali ilikua ikimuonyesha Harmonize kuwa yupo chini ya lebel hiyo kwa utambulisho wa maneno haya SIGNED UNDER WCB

Ambapo hivi sasa ametoa maneno hayo. Hivyo hii inaonyesha kabisa Mwanamuziki huyo ametemana na lebel hiyo.

PichaView attachment 1174527
Mbona hapo imeandikwa wcb4life mtoa mada naona unautindio wa akili
 
Back
Top Bottom