Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kunyonywa tu Na kunyanyaswa piaMwacheni aendeleze mziki wake. Kishakua. Kachoka kunyonywa na kina babu Tale.
Nafikiri sasa ndio mwisho wa muziki wake. Labda mzungu wake amempa dili nzuri zaidi ya kufanya tofauti na music... Ila kiukweli sioni nguvu ya Konde boi nje ya Wasafi anyways muda utaongea vizuri zaidi.
R.i.p in advance
Soon ananyang'anywa blue tick
Wakikupa majibu stahikikwani kwenye mkataba wake kuna kipengele chochote kwamba account yake ya insta iwe na hayo maandishi
Uliambiwa na yeye lazima awepo huko dodoma ?Ile ameweka kuwa appreciative, lakini hayupo tena. Unaeza ona hata show ya Dodoma alipost kutoa support lakini hakuwepo kwenye list. Na show hayupo.
Uwezo wa watanzania wengi kwenye uchambuzi wa mambo upo chini mnooooooo ndio maana ccm wana take advantage kuendelea kuwabuluza.Mzee baba wewe ndo unataka aondoke au yeye aondoke mbona ili alishazungumza kwamba ikiwa show zinaingiliana na show za nje kwenye wasafi festival anakuwa hayupo ndo taratibu walijiwekea wasafi ndo maana mboso na rayvanny hawakuwepo wasafi festival iliyofanyika Tabora.
bila unaosema anawafaidisha asingekua hivyo alivyo leo,acheni UNAFIKI WA KIMAMA NYIE NDEZIKama ni kweli anatoka ni vizuri sana, na yeye akafanye maendeleo binafsi sio kuwafaidisha maboss zake yeye anaona mwenzake anaongeza mansions tu kila wakati na kum badilishia maza magari wakati yeye huko kijijini mamaake bado anabeba maji kwa kichwa. Kwa nidham aliyonayo atatoboa tu
Braza usilete chuki ukaumia moyon bure mbona me sijatumia maneno hayo, hatukatai kwamba amefikishwa hapo alipo akapata umaarufu dunia nzima sasa kama anataka kutoka ili akatafute maisha tusiache kumsupport kama tulivyomsupport diamond alivyotoka kule baada ya kupata umaarufu na utajiribila unaosema anawafaidisha asingekua hivyo alivyo leo,acheni UNAFIKI WA KIMAMA NYIE NDEZI
soma post niliyokuquote umeeleza kana kwamba wakina Mond wanamtumia Konde kujinufaisha wakati wakat wao ndio wamemtengeneza,eti " Mond anazidi kujenga majumba na kuwazawadia mama zake magar wakati yeye mama ake bado anabeba maji kichwani" huyo konde yeye hawazawadii wazaz wake magari? acheni uchonganishi nyie vijana mtakieni heri aende kwa baraka na sio maugomvi atapotea huyo dogo WCB ni strong BaseBraza usilete chuki ukaumia moyon bure mbona me sijatumia maneno hayo, hatukatai kwamba amefikishwa hapo alipo akapata umaarufu dunia nzima sasa kama anataka kutoka ili akatafute maisha tusiache kumsupport kama tulivyomsupport diamond alivyotoka kule baada ya kupata umaarufu na utajiri
Kwa hiyo ww kinachokuuma Mama Diamond kubadilisha magari na Mondi kujenga Mansions.Kama ni kweli anatoka ni vizuri sana, na yeye akafanye maendeleo binafsi sio kuwafaidisha maboss zake yeye anaona mwenzake anaongeza mansions tu kila wakati na kum badilishia maza magari wakati yeye huko kijijini mamaake bado anabeba maji kwa kichwa. Kwa nidham aliyonayo atatoboa tu
Star namba moja wa Music Tanzania anaye wika kwa sasa Harmonize a.k.a Kondeboy ameachana na lebel yake ya Music WCB iliyo chini ya Mwanamuziki Diamond Platnumz.
Hii ni baada ya kubadirisha bio yake ya Instagram. Hapo awali ilikua ikimuonyesha Harmonize kuwa yupo chini ya lebel hiyo kwa utambulisho wa maneno haya SIGNED UNDER WCB
Ambapo hivi sasa ametoa maneno hayo. Hivyo hii inaonyesha kabisa Mwanamuziki huyo ametemana na lebel hiyo.
PichaView attachment 1174527
hawa vijana wana wivu wa kike sana wanatamani waolewe ili wapewe wao hizo mandingaKwa hiyo ww kinachokuuma Mama Diamond kubadilisha magari na Mondi kujenga Mansion.
Ndio hicho kinachotakiwa naye akatafute maisha kwengine atengeneze wcb yake atoe wasanii wake tuwe kama Nigeriasoma post niliyokuquote umeeleza kana kwamba wakina Mond wanamtumia Konde kujinufaisha wakati wakat wao ndio wamemtengeneza,eti " Mond anazidi kujenga majumba na kuwazawadia mama zake magar wakati yeye mama ake bado anabeba maji kichwani" huyo konde yeye hawazawadii wazaz wake magari? acheni uchonganishi nyie vijana mtakieni heri aende kwa baraka na sio maugomvi atapotea huyo dogo WCB ni strong Base