RASMI Harmonize aachana na WCB

Na afe kabisa mnavyo wish ..kwani mwisho wa mziki ndo mwisho wa maisha ?
Nafikiri sasa ndio mwisho wa muziki wake. Labda mzungu wake amempa dili nzuri zaidi ya kufanya tofauti na music... Ila kiukweli sioni nguvu ya Konde boi nje ya Wasafi anyways muda utaongea vizuri zaidi.
 
Ile ameweka kuwa appreciative, lakini hayupo tena. Unaeza ona hata show ya Dodoma alipost kutoa support lakini hakuwepo kwenye list. Na show hayupo.
Uliambiwa na yeye lazima awepo huko dodoma ?
 
Uwezo wa watanzania wengi kwenye uchambuzi wa mambo upo chini mnooooooo ndio maana ccm wana take advantage kuendelea kuwabuluza.
 
Kama ni kweli anatoka ni vizuri sana, na yeye akafanye maendeleo binafsi sio kuwafaidisha maboss zake yeye anaona mwenzake anaongeza mansions tu kila wakati na kum badilishia maza magari wakati yeye huko kijijini mamaake bado anabeba maji kwa kichwa. Kwa nidham aliyonayo atatoboa tu
 
Msimponze Harmo jamani...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nawaambia yatamkuta ya Rich mavoko yani mziki wa bongo sio tu Kuimba mzee babaaa.. kuna Mambo mazito sana nyuma yake akitoka WCB hakika atasandaa game tuu
 
bila unaosema anawafaidisha asingekua hivyo alivyo leo,acheni UNAFIKI WA KIMAMA NYIE NDEZI
 
bila unaosema anawafaidisha asingekua hivyo alivyo leo,acheni UNAFIKI WA KIMAMA NYIE NDEZI
Braza usilete chuki ukaumia moyon bure mbona me sijatumia maneno hayo, hatukatai kwamba amefikishwa hapo alipo akapata umaarufu dunia nzima sasa kama anataka kutoka ili akatafute maisha tusiache kumsupport kama tulivyomsupport diamond alivyotoka kule baada ya kupata umaarufu na utajiri
 
soma post niliyokuquote umeeleza kana kwamba wakina Mond wanamtumia Konde kujinufaisha wakati wakat wao ndio wamemtengeneza,eti " Mond anazidi kujenga majumba na kuwazawadia mama zake magar wakati yeye mama ake bado anabeba maji kichwani" huyo konde yeye hawazawadii wazaz wake magari? acheni uchonganishi nyie vijana mtakieni heri aende kwa baraka na sio maugomvi atapotea huyo dogo WCB ni strong Base
 
Kwa hiyo ww kinachokuuma Mama Diamond kubadilisha magari na Mondi kujenga Mansions.
 
Akaimbe nyimbo za ccm sasa,mana ameshaonyesha nia.ngoja tutaona mwishowake
 
Ndio hicho kinachotakiwa naye akatafute maisha kwengine atengeneze wcb yake atoe wasanii wake tuwe kama Nigeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…