RASMI Harmonize aachana na WCB

Ndio hicho kinachotakiwa naye akatafute maisha kwengine atengeneze wcb yake atoe wasanii wake tuwe kama Nigeria
Acha kuwa kigeugeu,key point yako ni kwamba atoke wcb sababu ananyonywa na kuwatajirisha wenzake,na wala sio atoke wcb eti akaendeleze vipaji vya wenzake....by the way have a good morning!!
 
Kama ni kweli anataka kutoka atoke tu, akatafute maisha kwengine
Kwa hiyo ww kimekuuma Diamond kujenga Mansions na mama yake kubadilisha magari?

Mbona Harmonize ana badilisha Magari kila siku na Wazazi wake kawapa Harrier kila mmoja,manake sioni uhusiano kati ya vitu anavyomiliki Diamond na mada hii husika au UNACHUKIA DIAMOND KUMILIKI MANSIONS NA MAMA YAKE KUBADILISHA MAGARI?
 
Kama ni kweli anataka kutoka atoke tu, akatafute maisha kwengine braza
 
Nadhani kauli yake ndio itatatua huu mzozo sio bio ya insta
 
Acha kuwa kigeugeu,key point yako ni kwamba atoke wcb sababu ananyonywa na kuwatajirisha wenzake,na wala sio atoke wcb eti akaendeleze vipaji vya wenzake....by the way have a good morning!!
Ndio hicho hicho mkuu, tenga un buen día
 
Kama ni kweli anataka kutoka atoke tu, akatafute maisha kwengine braza
kutoka hata mimi nimekubali na ni swala zuri sana,ila sijaona mahusiano kati ya kumchukia Diamond kumiliki mansions na Mama yake kumiliki magari na kutoka kwake Harmonize WCB au Harmonize akitoka Mondi hataongeza mansions na mama yake hato badilisha magari?

Acha CHUKI ndugu yangu,mada inazungumzia mengine na wewe unazungumzia mengine.
 
kama katoka basi iwe kwa heri. ili mambo yakiwa vibaya arudi. sio dhambi!
wizkid aliondoka kwa banky w mapema tu na anatusua
pantoranking alipokuwa na ile hit ya girlie o akasepa boston music mpaka now anafanya powa
mr p toka alivyosimama mwenyewe sasa ana lebel yake na msanii mmoja singah.. nae pia(singah) ana fanya vizuri chini ya mr p.. bila shaka ataondoka mda sio mrefu.
that's life uku bongo ni fitna tupu
 
Harmonize anajifanya na yeye anauwezo wa kumbrand msanii yoyote na akashine hahahahahahahahah Q chief huyu hapa ametoa nae vingoma karibia 5 vyote ni 0 kama anajiamini amekuwa Brand ana Fans base ya kutosha amrudishe Chillah kwenye tuone
 
Anawezea wapi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
 
Harmonize ndio aliyeandika ,HE MEDE IT kwa kupata Certificate ya Youtube kwa kufikisha subscribers 1m?
 
Kama harmo kashindwa kumrudisha qchilla ataweza kujisimamia yeyemwenyewe? Asiye baadae akaanza kulalamika mziki mgumu au kuanza kutumia madawa kulevya WCB ni strong empire yenye mashabiki wengi ila time will tell.
 
@Harmonize wasikujaze vitumbua kichwani ooohoooo!!!!
Uku siyo Nigeria eti ukitoka kwenye label utashine.
Utapotea mazima jifunze kwa wasanii waliopita.
Sisi watanzania ni mandumbakuwili ukianza kuvuta sembe watanzania hawatokusaidia,
Wengi wetu tunakuwa JF,Ustagram,FaceKitabu,Twita na nairaland kukusengenya!!! Nyuma ya Huawei,Na visimu vya batani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…