Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.

Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.

N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. πŸ˜’πŸ˜’

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
 
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa .

Na kama hamtaniona hapa jf nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema .
N:B maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na jf ataona wivu. πŸ˜’πŸ˜’

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
 
Upo kasi sana hafu umekamia game utaiweza kweli?
 
Huna popote unapoenda, soon utarudi tu humu.
 
Huna popote unapoenda soon utarudi tu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…