Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Usisahau Mara moja moja kutusabahi...Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa .
Na kama hamtaniona hapa jf nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema .
N:B maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na jf ataona wivu. 😒😒
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Hiki kipind nilicho pata ajar ndio nimekua karibu sanaa na wife Kuna muda nakua busy na simu humu Jf mpaka ananambia
For sure JF Ni nyumbani Ni familia moja...we will miss you