Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

Dogo mtafungua shule lini maana naona Bado mpo likizo, Yani upate Mme ndo uage humu, Bado kumbe una akili za kitoto, Bado unavalishwa nepi kumbe, watu ni maboss na ndoa zao wamo humu mpaka mawaziri hadi rais yumo humu wewe ni nani usiwemo humu eti kisa ndoa, kwani ndoa ndo nini wewe, acha mambo ya kitoto
Wivuuu
 
Si unaolewa na ustaadh sie tunakuja tu kunywa chai na maandazi
YAp ni mtu kama huyu ngoja nikupe picha yake ila ni mfano sio halisi
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    7.8 KB · Views: 2
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    29.2 KB · Views: 3
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.

Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.

N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒

Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Utarudi tuu mwenyewe, a
 
Back
Top Bottom