MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Utamiss sana nyuzi za Lucas Mwashambwa. Fungua account nyingine ili uwe unafaudu nyuzi za kijana mpenda nchi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mmenikataa tu nimekaribu na muda naona unaendaKakupa nini huyo jamaa?
Ngoja ukawekwe kabatini tena😁😁Ni mpya ikiota sugu nitarudi ila sijui kama nitakuja tena mie huku ni mwanawakukosa kule afadhali ngoja nikapumue nimechoka kujitesa huku mwaya . Nimeonanikubaliane na huyu niwe mama kijacho
USijali yamepita tugange ya ndoa sema nikupe tiketi uje ukashuhudie mwayaWeh! Nani alikuwa anakudanganya huyo da mau wangu tumchambe
Kapewa tongue tornadoKakupa nini huyo jamaa?
Wala kwa sasa huo mchezo haupo akili mwanguUnataka ukafungue ID gani mpya?
Wala ndoa ni muhimuKapewa tongue tornado
Ukumbuke maisha ya ndoa, unatakiwa kulala bila.....Wala kwa sasa huo mchezo haupo akili mwangu
Hiyo sisi kwetu sio wageniUkumbuke maisha ya ndoa, unatakiwa kulala bila.....
ILa dada Maua tulikuzoea ujuwe!! Kama ni kweli tutakumiss mbona🙆🙆🙆Hayaa utaniona kuanzia ijumatano sintokuwepo tena
Ndoa ni muhimu Lakini siyo lazima 🙂🙂Wala ndoa ni muhimu
Na hiki kipindi cha mvua jamaa akachora kiukweli haya wachoraji wa pm tumeshindwa ,jamaa huko kachora na penseli kweliMaisha yanaenda mtu anadai njoo pm ukija hana la maana zaidi ya kukuchora tu sasa yanini lazima utoke sehemu ya watu wenye utani
Naunga hoja mkonoWewe binti una matatizo ya akili.
Na kanzu yakeNa hiki kipindi cha mvua jamaa akachora kiukweli haya wachoraji wa pm tumeshindwa ,jamaa huko kachora na penseli kweli
Mimi nimekukataa lini?Hakuna mmenikataa tu nimekaribu na muda naona unaenda