Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huioni!!Eh kwanini kwani nisipokuwa humu shida iko wapi
Tunasubir uzi mrefu kutoka kwako baada ya miezi 2 #kataandoandoaniwiziNimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.
N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
🤣Huna popote unapoenda soon utarudi tu humu.
Kipigo cha niniUnique flower
siku moja moja uwe unatukumbuka ndugu zako wa Jf sambamba na hayo tangulia uje utujuze changamoto za ndoa siku moja
Sisitizo:
Ukipata kipigo usikae kimya shea nasi vilevile.
HapanaTunasubir uzi mrefu kutoka kwako baada ya miezi 2 #kataandoandoaniwizi
Sio mgeni hataKampe vizuri unyumba mtoto wa watu
Send off itakuwa umasaini
Nitakuwa nakupa hi wewe tu ila sio saizi labda after 2 yearsWewe huioni!!
Unique Flower haitakuwepo, itapotea kama ilivyopotea Tanganyika. Bado huoni shida tu!!??
Hongera mahiNimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.
N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wasi kutishe Raha ya bhangi changanya na Viagra
hujaelewa nini ?Nifafanulie sijaelewa
Duhhhh....Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.
N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower
Eehh usinambie da mau?? 😂Send off itakuwa umasaini
Eeh! After that long? Yaani baada ya uchaguzi mpya 2024? 🙆🙆Nitakuwa nakupa hi wewe tu ila sio saizi labda after 2 years