Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Ukawa mke wa ngapi kwa ustaadhNa kanzu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukawa mke wa ngapi kwa ustaadhNa kanzu yake
Huyu sio ostadh huyu ni mwarabu elewa hiloUkawa mke wa ngapi kwa ustaadh
Ticket kwani inafanyikia wapi?? Usitake kuniambia tunaenda Maldives au Ibiza 😜USijali yamepita tugange ya ndoa sema nikupe tiketi uje ukashuhudie mwaya
Umempata bwana mwarabu mlokoleHuyu sio ostadh huyu ni mwarabu elewa hilo
Muislamu swala 5Umempata bwana mwarabu mlokole
Kwani upo ArushaTicket kwani inafanyikia wapi?? Usitake kuniambia tunaenda Maldives au Ibiza 😜
Siwezi nitajidanganya mwenyeweAnayeondoka huwa haagi, na anayeaga huwa haondoki..... utakachofanya ni kubadili ID tu.
Ni kweli ijumatano ndio mwishoILa dada Maua tulikuzoea ujuwe!! Kama ni kweli tutakumiss mbona🙆🙆🙆
Unawastua mods tu kazi inafanyika.Unafungaje bro?
Sogeza mbele, angalau mwezi mmoja mbele. Then uondoke kimya kimya bila kuaga.Ni kweli ijumatano ndio mwisho
Eh kwanini kwani nisipokuwa humu shida iko wapiSogeza mbele, angalau mwezi mmoja mbele. Then uondoke kimya kimya bila kuaga.
HayaaWaliosomea Cuba nadhani wameelewa vizuri.
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema.
N:B Maisha ya ndoa mtu hataki kuona upo busy na JF ataona wivu. 😒😒
Have a blessed time
Wenu ,
Unique Flower