Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #81
Ni mpya ikiota sugu nitarudi ila sijui kama nitakuja tena mie huku ni mwanawakukosa kule afadhali ngoja nikapumue nimechoka kujitesa huku mwaya . Nimeonanikubaliane na huyu niwe mama kijachoSasa ndoa na JF kuna mahusiano gani mrembo?Kwamba ukiolewa husalimii kaka zako na mashemeji..huyo mmeo mnashinda mnaangaliana machoni na kushikana mikono??
Kila la kheri na hongera