Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Viongozi wa Simba hawapo na hawatarudi uraiani tena.dogo kapishana na ubingwa
View attachment 536093
Dar es Salaam. Baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu, straika Ibrahim Ajib amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga ambayo ndiyo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu.
Ajibu amesaini mkataba huo leo mbele ya mabosi wa Yanga na kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa klabu hiyo.
Nyota huyo anakuwa mchezaji wa pili kusainiwa na Yanga katika usajili wa sasa huku klabu hiyo ikiwa mbioni kukamilisha usajili wa kiungo wa Mbeya City, Raphael Daudi
Ibrahim Ajib asaini rasmi klabu ya Yanga
Aliondoka Ronaldo pale man u sembuse ajibu, kwani nyinyi mlitaka akitoka simba aende WAP? Ile ni kazi yake yuko tayar kufanya kaz na club yoyte na cyo yanga na simba tu, hebu mashabiki tufike mahala na sis tuwe waelewa kidogo basi, Simba nguvu moja.Si habari njema kwa upande wa pili...
Deal done [emoji39]Wanilete fundi mtoto Raphael Daudi Ili roho yangu itulie.....
Y chirwa mnamsahau Hv?August 19 mechi na mikia..1)Youthe Rostand2)Abdul 3)Mwinyi 4)Yondani 5)Canavaro 6)Moyo 7)Raphael Alpha 8)Kamusoko 9)Tambwe 10)Ngoma 11)Ajibu au Chirwa.....Mnyamaaa kajipangeee
Yaani kijana Simba Sports, imemlea imemkuza anafikia kilele cha mafanikio anahamia timu pinzami ili awafunge walezi wake..!Hata hivyo ajibu hayuko vizuri kisaikolojia ..
Hahahaviongozi wa Simba wako gerezani hakuna wakutusumbua tena.
Hapa alikuwa anaona aibu
Hivi mmewahi kushinda hata match 1 tu tangu unaandika comment hiiAugust 19 mechi na mikia..1)Youthe Rostand2)Abdul 3)Mwinyi 4)Yondani 5)Canavaro 6)Moyo 7)Raphael Alpha 8)Kamusoko 9)Tambwe 10)Ngoma 11)Ajibu au Chirwa.....Mnyamaaa kajipangeee
Hawezi kujibu mkuuHivi mmewahi kushinda hata match 1 tu tangu unaandika comment hii
Huu huu wa Bara?mnajipa moyo
Ajib Ndio mpira wake kwisha