Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
AahahaaaaKUNDI C lote limeumaliza mwendo kwenye CAF.View attachment 2604530
Wote wslikuwa vilaza periodKUNDI C lote limeumaliza mwendo kwenye CAF.View attachment 2604530
Hili kundi lilikuwa ni kundi la vibonde. Na ndiyo maana limetolewa kirahisi tu.KUNDI C lote limeumaliza mwendo kwenye CAF.View attachment 2604530
Ha ha ha yupo kwenye sanduku au yupo wapi? [emoji3][emoji3]Marehemu wana mdomo sana.
Bado Simba imefanya vizuri sana.
Hata hao watakao chukua kombe kuna miaka waliumaliza mwendo. Na bingwa lazima abaki kuwa mmoja tu.
Simba ikijipanga vizuri zaidi, kombe linachukulika hata mwakani tu.
Ningetamani kocha abaki miaka miwili zaidi, safu ya ulinzi, kati na ushambuliaji iimarishwe zaidi.
Hatukwenda nusu fainali mwaka huu, tujipange mwakani tuende.
Huyu ni Simba predator, kuacha kitoweo ni mbinu za kupumzika tu, hatimae kitoweo kitatafunwa tu.