Rasmi jana Kundi la Simba limeumaliza Mwendo

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
KUNDI C lote limeumaliza mwendo kwenye CAF.
1FF2F25E-CAB6-470F-81C7-17EFF191DC1D.jpeg
 
Bado Simba imefanya vizuri sana.

Hata hao watakao chukua kombe kuna miaka waliumaliza mwendo. Na bingwa lazima abaki kuwa mmoja tu.

Simba ikijipanga vizuri zaidi, kombe linachukulika hata mwakani tu.

Ningetamani kocha abaki miaka miwili zaidi, safu ya ulinzi, kati na ushambuliaji iimarishwe zaidi.

Hatukwenda nusu fainali mwaka huu, tujipange mwakani tuende.

Huyu ni Simba predator, kuacha kitoweo ni mbinu za kupumzika tu, hatimae kitoweo kitatafunwa tu.
 
Mashabiki wa simba wana midomo utafikiri wamezaliwa na mama, baba mmoja

Back
Top Bottom