KweliKwenye movie abaki humo
Kuna ile aliogiza na jackie chan ipo vizuri
Kuna movie kacheza inaitwa Ricky Staniky, alikua anaimba nyimbo za kupigia nyeto.. kijana anakichaa. aachane na wwe maana amesha zeekaNguli Maarufu wa Mieleka kutoka Nchini Marekani John Cena hatimaye ametangaza kuwa sasa amestaafu rasmi kucheza Mchezo huo baada ya Kudumu Kwa Miaka 25, akibeba Mataji kibao ya Mikanda katika Mchezo huo.
John Cena alishutukiza Mashabiki kwenye Ukumbi na kote Duniani baada ya Kutoa tangazo hilo, ambapo mashabiki wengi uwanjani hapo walionekana kutokubaliana na Uamuzi huo Mgumu wa Nguli huyo.
Utakumbuka nini kutoka kwa Nguli huyu??
Pia Soma: John Cena Atangaza Kustaafu Kucheza Mieleka (WWE) Ifikapo 2025
View attachment 3513756
mwamba hataki kupata mtoto ...sasa sijui ni mwendo ama vpNguli Maarufu wa Mieleka kutoka Nchini Marekani John Cena hatimaye ametangaza kuwa sasa amestaafu rasmi kucheza Mchezo huo baada ya Kudumu Kwa Miaka 25, akibeba Mataji kibao ya Mikanda katika Mchezo huo.
John Cena alishutukiza Mashabiki kwenye Ukumbi na kote Duniani baada ya Kutoa tangazo hilo, ambapo mashabiki wengi uwanjani hapo walionekana kutokubaliana na Uamuzi huo Mgumu wa Nguli huyo.
Utakumbuka nini kutoka kwa Nguli huyu??
Pia Soma: John Cena Atangaza Kustaafu Kucheza Mieleka (WWE) Ifikapo 2025
View attachment 3513756
Kuna movie kacheza anaingiziwa mpira wa maji kwenye tundu la takoKwenye movie abaki humo
Kuna ile aliogiza na jackie chan ipo vizuri
Kastaafu mieleka au comedy?Nguli Maarufu wa Mieleka kutoka Nchini Marekani John Cena hatimaye ametangaza kuwa sasa amestaafu rasmi kucheza Mchezo huo baada ya Kudumu Kwa Miaka 25, akibeba Mataji kibao ya Mikanda katika Mchezo huo.
John Cena alishutukiza Mashabiki kwenye Ukumbi na kote Duniani baada ya Kutoa tangazo hilo, ambapo mashabiki wengi uwanjani hapo walionekana kutokubaliana na Uamuzi huo Mgumu wa Nguli huyo.
Utakumbuka nini kutoka kwa Nguli huyu??
Pia Soma: John Cena Atangaza Kustaafu Kucheza Mieleka (WWE) Ifikapo 2025
View attachment 3513756
SameNiliacha kufatilia huu mchezo baada ya kile kizazi cha wakina batista, undertaker, triple h n.k kutundika daruga
Mimi mwenyewe Hilo pia Lili niondolea morality kabisa ya kufuatiliaNiliacha kufuatilia hiyo mieleka, baada ya kugundua kumbe jamaa huwa wanaigiza! Na hata matulio yao yote ni ya kupanga. Mwanzoni nilifikiri ni kweli eti.
Huyu Mwamba na Mkewe (Shay) ndio waligoma kabosa kupata hata katoto kamoja na wamesema hawana mpango wa kuwa na mtoto.....🤣🤣
Daah 😁🙌Kuna movie kacheza anaingiziwa mpira wa maji kwenye tundu la tako