Rasmi Ken Gold Imeshuka Daraja Kwa Msimu wa 2023/2024

Rasmi Ken Gold Imeshuka Daraja Kwa Msimu wa 2023/2024

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Rasmi Kengold inakuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu baada ya kipigo cha 2 - 1 leo Dhidi ya Wanamangushi Coastal Union.

Mpka sasa Kengold ipo nafasi ya 16 na alama zao 16 katika msimamo wa ligi ikiwa imecheza mechi 27 ikipata ushindi kwenye mechi 3 sare 7 na vipigo 17

Kimahesabu Kengold hata wakishinda mechi zao 3 zilizobaki watafikisha alama 25 ambazo Tayari Prisons wako nazo 27 katika nafasi ya 14.
 
Ni 2024/2025 au 2023/2024 mkuu mbona lugha gongano.
 
Walipenda wenyewe kushuka. Timu ilijaa wachezaji wengi wasio na uzoefu kwenye ligi kuu! Walitakiwa wafanye usajili makini mara tu baada ya kupata nafasi ya kupanda ligi kuu.
 
Hawa jamaa walitumia janja janja kupanda ligi kuu
 
Back
Top Bottom