Rasmi: Kocha Pitso Mosimane asaini mkataba mpya wa miaka miwili Al Ahly

Rasmi: Kocha Pitso Mosimane asaini mkataba mpya wa miaka miwili Al Ahly

Unambishia takwimu!!!?...acha unazi wa kijinga
Unajua kila mtu anatafsiri kuzidiwa kwa angle ansyoiona yeye. Lakini kwangu mimi kumzidi mpinzani wako sio kuwa na possession kubwa bali ni idadi ya nafasi zinazotengenezwa. Alichofanikiwa Al Ahly ni kupiga pasi tu ambazo hazikuwa na madhara kwa Mamelod. Lakini Mamelod pamoja na kutokuwa na passesion kubwa ila ndio aliyeongoza kwa kutengeneza nafasi nyingi za magoli. Kama sio uimala wa kipa wa Misri magoli yangekuwa mangapi? Angalia statics zote halafu itimisha mwenyewe nani aliyeelemewa.
IMG_20220312_225358.jpg
 
Hivi makocha wetu mbona hawana demand nje ya mipaka ya Tanzania? warundi, wakongo, wakenya, leo hata wasomali wanatufunza soka! kwann isiwe na sisi huko kwao?
Sisi tuna danganyana mara league yetu ni bora , sijui team gani ni ya 10 kwa utajiri duniani, kwenye uongo ukweli hua unapita mbali
 
Back
Top Bottom