Unajua kila mtu anatafsiri kuzidiwa kwa angle ansyoiona yeye. Lakini kwangu mimi kumzidi mpinzani wako sio kuwa na possession kubwa bali ni idadi ya nafasi zinazotengenezwa. Alichofanikiwa Al Ahly ni kupiga pasi tu ambazo hazikuwa na madhara kwa Mamelod. Lakini Mamelod pamoja na kutokuwa na passesion kubwa ila ndio aliyeongoza kwa kutengeneza nafasi nyingi za magoli. Kama sio uimala wa kipa wa Misri magoli yangekuwa mangapi? Angalia statics zote halafu itimisha mwenyewe nani aliyeelemewa.
Hivi makocha wetu mbona hawana demand nje ya mipaka ya Tanzania? warundi, wakongo, wakenya, leo hata wasomali wanatufunza soka! kwann isiwe na sisi huko kwao?