uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Sep 4, 2024 #21 Azam ya msimu uliopita ilikuwa imara sana ya msimu huu ikishika nafasi ya 4 ni bahati nasibu Itakuwa na draw nyingi plus kupoteza
Azam ya msimu uliopita ilikuwa imara sana ya msimu huu ikishika nafasi ya 4 ni bahati nasibu Itakuwa na draw nyingi plus kupoteza
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Sep 4, 2024 #22 Wamechelewa sana mpaka wamepata madhara mabaye,wanakumbuka shuka kumekucha