Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
unaona mabali zaidi ya ndege Tai aise.....Ukweli imekuwa bidhaa adieu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.
Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu
Kama atasoma huu uzi naomba kumwambia rasmi. Dunia ya sasa PPP ndo mwendo na maendeleo ya kweli yanapatikana katika PPP.
Katika hili suala la namna alivyosimama hadi kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa Tanzania sio nchi ya kijamaa nasema apewe kijiti kuongoza nchi baada ya Samia 2030.
Umekosa hoja ndo mana unatukanaMna-firw@ nini?
Amewaumbua walizodai sijui Mkataba wa miaka 100 mara Milele mara Nchi imeuzwa na upuuzi kama huo.Ukweli imekuwa bidhaa adieu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.
Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu
Kama atasoma huu uzi naomba kumwambia rasmi. Dunia ya sasa PPP ndo mwendo na maendeleo ya kweli yanapatikana katika PPP.
Katika hili suala la namna alivyosimama hadi kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa Tanzania sio nchi ya kijamaa nasema apewe kijiti kuongoza nchi baada ya Samia 2030.
Kweli kabisaAmewaumbua walizodai sijui Mkataba wa miaka 100 mara Milele mara Nchi imeuzwa na upuuzi kama huo.
Old is GoldMimi najiuliza Iddi Siwa kafanya kipi tofauti na Massoro??
Naona watu hawana hata nguvu ya kupinga chochote ....kama wamemwagiwa maji kabisa
Ukweli imekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.
Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu
Kama atasoma huu uzi naomba kumwambia rasmi. Dunia ya sasa PPP ndo mwendo na maendeleo ya kweli yanapatikana katika PPP.
Katika hili suala la namna alivyosimama hadi kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa Tanzania sio nchi ya kijamaa nasema apewe kijiti kuongoza nchi baada ya Samia 2030.
Amewaumbua walizodai sijui Mkataba wa miaka 100 mara Milele mara Nchi imeuzwa na upuuzi kama huo.
Kutetea tu ndio apewe Urais?? aisee!Ukweli imekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.
Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu
Kama atasoma huu uzi naomba kumwambia rasmi. Dunia ya sasa PPP ndo mwendo na maendeleo ya kweli yanapatikana katika PPP.
Katika hili suala la namna alivyosimama hadi kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa Tanzania sio nchi ya kijamaa nasema apewe kijiti kuongoza nchi baada ya Samia 2030.
Mkataba huu ni mwingine tatizo hata hamjui kilichofanyika. Ule mkataba wa awali umepigwa Chini.
Sikuwahi kumfuatilia before ila kwenye hili sakata amenikosha sana kwa kutetea kwake na kujenga hoja kwake.Amewaumbua walizodai sijui Mkataba wa miaka 100 mara Milele mara Nchi imeuzwa na upuuzi kama huo.
Huo ni mtazamo wako.Kwamba na akili zetu tukubali tena kuongozwa na kina Tulia ukiachilia takwa la Mungu? Kina Mama wasubirie matakwa ya Mungu kwa kipindi cha miaka 30 ijayo ila kwenda kupanga foleni kabisa na ndevu zetu hata Mungu atasema haya majitu yameaisi jinsi zao au??