RASMI. Kwa masikitiko makubwa nimeamua kujiondoa simba

RASMI. Kwa masikitiko makubwa nimeamua kujiondoa simba

Nyie ndo mmekosa vijicent baada ya Simba kuwa kampuni inabidi utafute kazi ya kufanya, Simba tunataka matokeo dhidi ya timu ngumu hapa Africa na hiyo ndo furaha ya mashabiki wote, hata kama ilikuwa chini ya wananchi ulipata nini zaidi ya stori za tumepambana kiume, Kwa maslahi ya matokeo hata MO akiichukua kwa asilimia 100 cha msingi ni kandanda safi.
 
Umefanya vyema Mkuu,ni bora ukajikita huku
asante kwa kumuibua
 
Niliipenda sana timu yangu hii, lakini kutokana na mambo yanayofanya na baadhi
ya Viongozi nimeamua kujiondoa Simba. Ni mimi Mzee wa Kurekebisha wa hapa
Jamii Forums, nawaachia timu kina MO.
We si mzee wa kurekebisha, usikimbie.... Embu rekebisha mambo hapo mikiani

Kwani Haji anasemaje
 
Nenda tu mungu akutangulie sisi tutakomaa hadi mwisho
 
Mi nmejaribu kuulizia kama kujiondoa kwako kunaweza waathiri Simba. Nmeambiwa haina effect yoyote.ulipokuwepo na sasa haupo nothing has changed.

Uwe na amani tu katika kujiondoa hamna shida kabisa. Njoo ujiunge Tanzania Prison Break... Au Mtibwa Sugar.

Niliipenda sana timu yangu hii, lakini kutokana na mambo yanayofanya na baadhi
ya Viongozi nimeamua kujiondoa Simba. Ni mimi Mzee wa Kurekebisha wa hapa
Jamii Forums, nawaachia timu kina MO.
 
Umefanya maamuzu ya busara mno, ulikokua unaelekea ni kwenye majonzi. Msimu utakao anza hivi karibuni kuna timu italia na kusaga meno kwa kujaza mabeach boy kutoka Rio De Jeneiro wala urojo.

Kuimba kupokezana.
 
Back
Top Bottom