Huku nyuma viongozi wake wakaanza kumlaumu kwanini haonekani kwenye kampeni, akawajibu wasubiri dakika ya 89:59Binafsi nilienda moja kwa moja kwenye kumbukukumbu za kampeni za urais mwaka ule ambao marehemu aliondoka kwa gafla kwenda ughaibuni, wengi walimpiga mawe kwamba alichemka.
Hapo Ndiyo TunapokoseaUlitarajia aishi milele?
Hata kama kilaza ila huwezi kumfikia wewe ukifa nani atajua nchi hii zaidi sana jf wingsSiku anazindua kampeni ndio nilijua kumbe alikuwa kilaza tu mwanasiasa gani yule hakuwa na uwezo wa kutawala jukwaa?.
Binafsi nimekuelewa mkuuYule jamaa alikuwa overrated tu. Nilipoona tu mtu anayejitambulisha ni daktari wao wa familia, nikajua BKM hakuwa kachero kivile. Alikuwa muongeaji mzuri, ila hakuwa mchunguzi mzuri. Alikuwa overrated.
Mstari huu wa Biblia , umewaua watu wengi sana pale SHAKA HOLA.Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
Ayubu 14:1
Jamaa anajua kutafuta fursa ... any way Njia ya kufika hapo from CO anaijua yeyeYule jamaa alikuwa overrated tu. Nilipoona tu mtu anayejitambulisha ni daktari wao wa familia, nikajua BKM hakuwa kachero kivile. Alikuwa muongeaji mzuri, ila hakuwa mchunguzi mzuri. Alikuwa overrated.
Hata nilishangaa kachero mbobezi akadunguliwa mawasiliano kizembe vile? Bila kujua?Yule jamaa alikuwa overrated tu. Nilipoona tu mtu anayejitambulisha ni daktari wao wa familia, nikajua BKM hakuwa kachero kivile. Alikuwa muongeaji mzuri, ila hakuwa mchunguzi mzuri. Alikuwa overrated.
Kwanini?Yule jamaa alikuwa overrated tu. Nilipoona tu mtu anayejitambulisha ni daktari wao wa familia, nikajua BKM hakuwa kachero kivile. Alikuwa muongeaji mzuri, ila hakuwa mchunguzi mzuri. Alikuwa overrated.
Wee metal mada hii wakati huu ni mwehu!!!!View attachment 2619417
Tulikuwa tumekaa sehemu tunatafakari safari yetu ya maisha kwa hizi piga nikupige za hapa na pale, baadaye tunasoma breaking story ya kifo cha camaraderie Bernard Camirius Membe.
Binafsi nilienda moja kwa moja kwenye kumbukukumbu za kampeni za urais mwaka ule ambao marehemu aliondoka kwa gafla kwenda ughaibuni, wengi walimpiga mawe kwamba alichemka.
Papo kwa hapo (leo) nikapata jibu pasi shaka late kachero mbobezi hakukimbia kampeni ila ilikuwa ni issues za kiafya.
Maisha yetu binaadamu ni kificho kwetu na afya zetu ni hazina ambayo kila mtu anajijua alivyo ni mwenyezi Mungu tu ndiye anapanga na kupangua.