RASMI: Kwa Nini Marehemu Kachero Mbobezi Hakukimbia Zile Kampeni?.

RASMI: Kwa Nini Marehemu Kachero Mbobezi Hakukimbia Zile Kampeni?.

View attachment 2619417
Tulikuwa tumekaa sehemu tunatafakari safari yetu ya maisha kwa hizi piga nikupige za hapa na pale, baadaye tunasoma breaking story ya kifo cha camaraderie Bernard Camirius Membe.

Binafsi nilienda moja kwa moja kwenye kumbukukumbu za kampeni za urais mwaka ule ambao marehemu aliondoka kwa gafla kwenda ughaibuni, wengi walimpiga mawe kwamba alichemka.

Papo kwa hapo (leo) nikapata jibu pasi shaka late kachero mbobezi hakukimbia kampeni ila ilikuwa ni issues za kiafya.

Maisha yetu binaadamu ni kificho kwetu na afya zetu ni hazina ambayo kila mtu anajijua alivyo ni mwenyezi Mungu tu ndiye anapanga na kupangua.
Kama ndivyo mbona hakukimbia tena mpaka kafia machakani na ubobezi feki wake????
 
Yule jamaa alikuwa overrated tu. Nilipoona tu mtu anayejitambulisha ni daktari wao wa familia, nikajua BKM hakuwa kachero kivile. Alikuwa muongeaji mzuri, ila hakuwa mchunguzi mzuri. Alikuwa overrated.
Kabisa, na ndivyo ilivyo
 
Kama ndivyo mbona hakukimbia tena mpaka kafia machakani na ubobezi feki wake????
Daa mkuu siwezi kusema more ila soma hiyo...
IMG_20230513_210131.jpg
 
@TODAYS ! Hata wewe pia una wakati wako bila ya shaka
Ndiyo maana hara maandiko yanaelezea mtiririko wa maisha kuna kuzaliwa, kuoa/kuolewa na kisha kufa (nk).

So wakati ule wazo hili halikuwepo ila ndiyo huu.
 
Back
Top Bottom