Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Wakuu,
Azam Media wamekua wakijitangaza kua wameshusha Bei ya vifurushi vyao kuanzia leo.
Asubuhi hii nimelipia kifurushi Cha 20,000/- ambayo ndio iliyokua 23,000/- lakin nimekuta channels kadhaa hazionyeshi. Baby TV, ESPN1, ESPN2, MBC4, Nickoledion Zote hizi nilikua nazipata kwenye kifurushi Cha 23,000/-.
Huu Ni zaidi ya wizi, serikali iko kimya kana kwamba imebariki huu wizi. Ni heri waache bei ileile lakin warudishe channels zilizokuwepo kabla.