Daaah nmecheka aseeAzamTV ni kwa ajili ya mabeki tatu tu na maamuma wengine.
Unataka upate mpira kwa hiyo fee?Nimelipia kifurushi cha 18,000/= mpira hamna inabidi niongeze hela na huku wanasema wameshusha vifurushi
[emoji1][emoji1][emoji1]AzamTV ni kwa ajili ya mabeki tatu tu na maamuma wengine.
Inategemea hiyo full package inahusisha Nini. Bei g ya Vitz full package haiwezi kua sawa na bei ya BMW X6 full packageAzam wana bei nzuri sana yaani elfu 28 unapata full package, wakati huku Startimes full package ni elfu 36, pia Dstv ndo balaaa