Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kuanzia Juni 13, 2020 baada ya kusimama kwa zaidi ya miezi 2
Amesema ratiba ya kuendela na Ligi hiyo iliyosimama kutokana na janga la COVID19, itatolewa wiki hii Jumapili, Mei 31, 2020