Usinilishe maneno tafadhali wapi nimesema naenda kurubuni mtoto wa watu?Age 18-22 hao ni watoto wetu na wajomba zetu. Unampango gani mbaya na watoto wetu ?
Ujue hata wewe utakuja kuwa baba. Usiwarubuni tafadhali. Nko serius nawe utakuwa baba, machungu utayapata tu.
Karibu darasani mwanafunzi.Madam Hannah, Teacher wa Kithungu nipo tayari kujifunza