LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #21
Usinilishe maneno tafadhali wapi nimesema naenda kurubuni mtoto wa watu?Age 18-22 hao ni watoto wetu na wajomba zetu. Unampango gani mbaya na watoto wetu ?
Ujue hata wewe utakuja kuwa baba. Usiwarubuni tafadhali. Nko serius nawe utakuwa baba, machungu utayapata tu.