LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Sifa ya Chuo: Chuo cha Kati.
Idadi ya wanafunzi Chuo kizima: Approximately 7000.
Kozi ninayo chukua? " "
Duration : 3.months.
Idadi ya wanafunzi:
Kozi nzima : 300 plus.
Darasa langu : wanafunzi Sabini na nane.
Kati ya wanafunzi Sabini na nane:
1. Ke.... 49
2. Me...29.
Age zao ( ke )
( 18 to 22)
Dua zenu please 🙏🙏🙏🙏🙏
Kumbuka ke WaPo 49.
Age zao 18 to 22. Hao ni kwenye chumba cha darasa langu bado madarasa mengine bado kozi nyingine.
# Likud nna raha Mie
# Hakuna kitu kizuri duniani kama kuwa Mimi.
Balo la nguo za kike tayari nishachukua Kwa ajili ya kuuza.
Nisha chukua simu Kumi (Smart Phone) za elfu themanini themanini kutoka Zahoro Matelephone, ntakuwa nafanya biashara ya kukopesha simu chuo pale.
Na bajeti ya kama milioni 3 hivi Kwa muda nitakao kuwa Chuo...
# Tumezaliwa kufurahia
" SOMENI KWA FURAHA" SHAABAN ROBERTS.