liberatus mbena
Member
- Jan 14, 2015
- 74
- 15
Afungweeeeeeeeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote sawa.Nzi baba yako
Ndio maana soka letu lipo kaburini.Sio kwa awamu hii, mbona wengine sisi hatujasumbuliwa na ni mashomire? Tatizo alikuwa mpigaji na mjanja fulani hivi, ukienda hapo ofisi za tff karibu nafasi zote muhimu zimekamatwa na sisi wa Kanyigo, Nshamba, Kamachumu, zisizo muhimu ndio wa huko Upareni, Mwandiga, na Wambulu wanazishikilia. Jamaa alitaka kuhamishia ofisi kwenye jengo ghali na katikati ya jiji lakini wadau wakapaza sauti. Mwenye roho ngumu tu anaweza kufanya hivyo sio roho za kimchezo mchezo. Hivi kwa akili ya kawaida Malinzi uchaguzi huu angeshindwa kweli wakati alishawalambisha wajumbe mikwanja ya kitakatishaji kitambo? Awamu hii ipo makini, haitaki ujanja ujanja wa Kimagomeni Magomeni.
Take my big like CHARMILTON.Ndio maana soka letu lipo kaburini.
Kazi nzuri kwa serikali na vyombo vyake.
Mbeleko ya chura Fc imekatika malipo huwa ni hapa hapa
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Sawa mtani hahahaMbeleko ya chura Fc imekatika malipo huwa ni hapa hapa
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app