RASMI: Mauritius yahalalisha ushoga na mapenzi ya jinsia Moja

RASMI: Mauritius yahalalisha ushoga na mapenzi ya jinsia Moja

Mahakama ya Juu ya nchi hiyo, katika uamuzi wa kihistoria wa Jumatano, ilitangaza Kifungu cha 250 cha Kanuni ya Jinai ya Mauritius, ambayo ilianza mwaka 1898, kuwa kinyume na katiba ya nchi.


Sheria hii iliyofutwa hapo awali iliwatia hatiani watu binafsi na kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.


Uamuzi wa Mahakama ya Juu ulisisitiza kuwa sheria hii haikuafikiana na maadili halisi ya watu asilia wa Mauritius bali ni masalia tu ya sheria na historia ya ukoloni wa taifa hilo kutoka Uingereza.


Safari ya kuelekea ubatilishaji huu wa kihistoria ilianza Oktoba 2019 wakati vijana wanne wa Mauritius, wanachama wa kundi la haki za Young Queer Alliance, waliwasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya sheria ya kupinga ushoga, wakitaja ukiukaji wake wa haki zao za kimsingi na uhuru.


Uamuzi huu umepokea sifa kutoka kwenye Umoja wa Mataifa na mashirika mengi ya haki za binadamu. UNAids, katika taarifa waliyoichaoisha, iliikaribisha Mauritius katika orodha inayozidi kuongezeka ya nchi za Kiafrika ambazo zinakumbatia haki za binadamu, ikiwa ni pamoja na zile za LGBTQI+ na Mambo ya ushoga.


Kwa hakika, Mauritius sasa inaungana na mataifa mengine ya Kiafrika kama vile Afrika Kusini, Angola, Botswana, Ushelisheli na Msumbiji katika kuhalalisha uhusiano wa watu wa jinsia.
Vitu wanavyovipenda Pro-Israelites, ila hapa utaona wanavyojifanya kushangazwa na kukemea.
 
Nilifanya booking ya kwenda kula Christmas hapo Mauritius na familia.

Kama hali ni hiyo bora ni-cancel kuliko kwenda Kushuhudia huo ufirauni uliofanya Kizazi cha Sodoma na Gomorrah Mungu kukiangamiza kwa moto.
 
Umaskini wa nchi za kiafrika utayaingiza mataifa mengi katika matatizo kama haya.

Hasara za ushoga ni pamoja na kukosekana kwa wanaume halisi ndani ya taifa, kusambaa na kuenea kwa magonjwa ya zinaa, kupungua kwa wingi wa watu kutokana na kupungua kwa kasi ya kuzaliana na pia ni dhambi na laana mbele za Mungu.

Naliombea taifa letu lisije fikia huku [emoji1317]...

Shida mnabagua sana dhambi.
 
Uvutaji sigara ni kwamba ni wewe na mwili wako, yani wewe unafanya maamuzi kwenye mwili wako. Hila ushoga ni kwamba wewe unamfanyia mwingine.

Nakupa mfano wewe ukijikata na kisu mwenyewe kwenye mwili wako iwe kwa nia njema au mbaya sio kesi kivile, lakini ukimkata mwingine na kisu ni kesi ambayo ya kudhulu mwili wa mtu mwingine.

Ushoga ungekuwa wewe ndio unajifanyia mwenyewe yani unapindisha uume wako kwa chini na kujiingilia mwenyewe isingekuwa shida, ila kwa sababu unamuingilia mwingine ni shida.

Kiafrika kwa sababu tunaishi kijamii sana yani watoto wa mtaa mzima wanacheza pamoja na watu kufanya shughuli kwa pamoja ni rahisi watoto au watu wazima kufanyiana vitendo hivyo na kukuwa kwa kasi, tofauti na wazungu ambao unakuta mtaa mzima hawafahamiani yani kila mtu na maisha yake na familia yake. Ni ngumu sana wazungu kurithi tabia za mitaani kutoka kwa watoto wenzao, ukilinganisha na Watoto wetu.

Sasa mashoga si yanakubaliana yenyewe shida nini?
 
Wazungu na ruzuku zao hawatatulia mpaka wote muwe wanachama wa shetani.
 
Ikiwa Papa anatuhusu mambo hayo, wao (Mortania) ni nani mpaka wapinge.
Hiyo ni ajenda ya kanisa, kutaka waumini wake wapakuane, ndio maana unaona inchi zote zilizo ruhusu ni za kikristo zaidi.
 
Hiyo nchi inajipendekeza kwa mkoloni wake ufaransa ambaye anaunga mkono mambo hayo
 
Mleta uzi we unasemaje na je we ni mmoja wao?
Habari hii imekufurahisha au kukuhuzunisha?

Avatar yako kama ndio wewe inasema kitu😂🤣🤣
🤐🤐🤐🤐
 
Mleta uzi we unasemaje na je we ni mmoja wao?
Habari hii imekufurahisha au kukuhuzunisha?

Avatar yako kama ndio wewe inasema kitu[emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]

Tumewaza sawa
 
Ikiwa Papa anatuhusu mambo hayo, wao (Mortania) ni nani mpaka wapinge.
Hiyo ni ajenda ya kanisa, kutaka waumini wake wapakuane, ndio maana unaona inchi zote zilizo ruhusu ni za kikristo zaidi.

Wapi papa karuhusu?hakuna nchi ya kikristo ila kuna nchi zenye wakristo wengi,ukristo haujawahi kuwa dini ya kuumizana na kukandamizana,
 
Dah ila kwanini wasieneze kwa nguvu na kwa efforts zao sawa na hizo wanazozitumia katika ushoga kwenye kueneza elimu ya uzazi wa mpango kama wanataka kucontrol the world population!
Wanatumia akili Mkuu sio nguvu,wametujua akili zetu Waafrika kuwa hatuna lolote zaidi ya njaa
 
Back
Top Bottom