RASMI: Mauritius yahalalisha ushoga na mapenzi ya jinsia Moja

Vitu wanavyovipenda Pro-Israelites, ila hapa utaona wanavyojifanya kushangazwa na kukemea.
 
Nilifanya booking ya kwenda kula Christmas hapo Mauritius na familia.

Kama hali ni hiyo bora ni-cancel kuliko kwenda Kushuhudia huo ufirauni uliofanya Kizazi cha Sodoma na Gomorrah Mungu kukiangamiza kwa moto.
 

Shida mnabagua sana dhambi.
 

Sasa mashoga si yanakubaliana yenyewe shida nini?
 
Wazungu na ruzuku zao hawatatulia mpaka wote muwe wanachama wa shetani.
 
Ikiwa Papa anatuhusu mambo hayo, wao (Mortania) ni nani mpaka wapinge.
Hiyo ni ajenda ya kanisa, kutaka waumini wake wapakuane, ndio maana unaona inchi zote zilizo ruhusu ni za kikristo zaidi.
 
Hiyo nchi inajipendekeza kwa mkoloni wake ufaransa ambaye anaunga mkono mambo hayo
 
Mleta uzi we unasemaje na je we ni mmoja wao?
Habari hii imekufurahisha au kukuhuzunisha?

Avatar yako kama ndio wewe inasema kitu😂🤣🤣
🤐🤐🤐🤐
 
Mleta uzi we unasemaje na je we ni mmoja wao?
Habari hii imekufurahisha au kukuhuzunisha?

Avatar yako kama ndio wewe inasema kitu[emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]

Tumewaza sawa
 
Ikiwa Papa anatuhusu mambo hayo, wao (Mortania) ni nani mpaka wapinge.
Hiyo ni ajenda ya kanisa, kutaka waumini wake wapakuane, ndio maana unaona inchi zote zilizo ruhusu ni za kikristo zaidi.

Wapi papa karuhusu?hakuna nchi ya kikristo ila kuna nchi zenye wakristo wengi,ukristo haujawahi kuwa dini ya kuumizana na kukandamizana,
 
Dah ila kwanini wasieneze kwa nguvu na kwa efforts zao sawa na hizo wanazozitumia katika ushoga kwenye kueneza elimu ya uzazi wa mpango kama wanataka kucontrol the world population!
Wanatumia akili Mkuu sio nguvu,wametujua akili zetu Waafrika kuwa hatuna lolote zaidi ya njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…