Rasmi Mchezo wa Simba vs Raja Casablanca Kupigwa saa 1 usiku

CAF wapuuzi sanaa iweje Pyramid wamecheza saa 9 ya usiku kwa saa za egupt ? Chama kimejawa na rushwa sanaa
Shida hapo inakuja kwa wanaomiliki haki ya kurusha mechi live kupitia tv, wanainfluence sana ratiba ila waonyeshe karibu mechi zote live ili zisiingiliane wapate pesa zaidi

Ushawahi Kuona Simba na Yanga wanacheza mechi muda mmoja hata kama wapo viwanja tofauti?
 
Ifike mahala vilabu vya africa viwe na nguvu ya kumkoromea CAF
 
Mambo ya biashara hayo..hapo caf wamereka mechi kubwa zote ziwe live.
 
Huijui simba vizuri wewe hasa linapokuja swala la kimataifa kipindi hiki, simba walishapata password ya kivipi washinde nyumbani iwe kwa heri au kwa shali
Simba ipi? Hii ya wachezaji wa kuokoteza kina Baleke, Sawadogo, Kibu na Bocco?
 
CAF wapuuzi sanaa iweje Pyramid wamecheza saa 9 ya usiku kwa saa za egupt ? Chama kimejawa na rushwa sanaa
Duuuh Kumbe Pyramid wamewakaanga wenzao mishale ya saa 9 Usiku.
 
Rest in peace simba! ☹️

Ingekuwa ni hiyo saa 10 jioni, ushindi ungepatikana kwa urahisi sana.
 
Ndio mara kibao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…