Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida hapo inakuja kwa wanaomiliki haki ya kurusha mechi live kupitia tv, wanainfluence sana ratiba ila waonyeshe karibu mechi zote live ili zisiingiliane wapate pesa zaidiCAF wapuuzi sanaa iweje Pyramid wamecheza saa 9 ya usiku kwa saa za egupt ? Chama kimejawa na rushwa sanaa
Ifike mahala vilabu vya africa viwe na nguvu ya kumkoromea CAFShida hapo inakuja kwa wanaomiliki haki ya kurusha mechi live kupitia tv, wanainfluence sana ratiba ila waonyeshe karibu mechi zote live ili zisiingiliane wapate pesa zaidi
Ushawahi Kuona Simba na Yanga wanacheza mechi muda mmoja hata kama wapo viwanja tofauti?
Mambo ya biashara hayo..hapo caf wamereka mechi kubwa zote ziwe live.🚨Ni rasmi Kuwa CAF wamekataa ombi la simba kucheza saa 10 jioni mechi yao dhidi ya Raja Casablanca,na Badala yake mchezo utakua saa 1 usiku,hii ni kutokana na CAF kumiliki hatimiliki katika hatua ya makundi.sasa itakuwaje majameni
View attachment 2516290
Simba ipi? Hii ya wachezaji wa kuokoteza kina Baleke, Sawadogo, Kibu na Bocco?Huijui simba vizuri wewe hasa linapokuja swala la kimataifa kipindi hiki, simba walishapata password ya kivipi washinde nyumbani iwe kwa heri au kwa shali
Duuuh Kumbe Pyramid wamewakaanga wenzao mishale ya saa 9 Usiku.CAF wapuuzi sanaa iweje Pyramid wamecheza saa 9 ya usiku kwa saa za egupt ? Chama kimejawa na rushwa sanaa
Msemaji wenu aliyekifungoni alipata kusema wachezaji wa Yanga ni takataka, sawa.?!Simba ipi? Hii ya wachezaji wa kuokoteza kina Baleke, Sawadogo, Kibu na Bocco?
Rest in peace simba! ☹️🚨Ni rasmi Kuwa CAF wamekataa ombi la simba kucheza saa 10 jioni mechi yao dhidi ya Raja Casablanca,na Badala yake mchezo utakua saa 1 usiku,hii ni kutokana na CAF kumiliki hatimiliki katika hatua ya makundi.sasa itakuwaje majameni
View attachment 2516290
Jangwani usiku baridi la hatari,na Mara nyingi hawachezi jioniMbona kwao ndo kuna joto zaid inakuaje liwatese
💪Haijalishi muda...tena usiku ndo watajua hawajui joto lake...bora saa kumi
mhm ilikuwa lini hyo mkuuCAF wapuuzi sanaa iweje Pyramid wamecheza saa 9 ya usiku kwa saa za egupt ? Chama kimejawa na rushwa sanaa
Kwan hujui kama pyramid walicheza majuzi na far rabatmhm ilikuwa lini hyo mkuu
Ndio mara kibao tuShida hapo inakuja kwa wanaomiliki haki ya kurusha mechi live kupitia tv, wanainfluence sana ratiba ila waonyeshe karibu mechi zote live ili zisiingiliane wapate pesa zaidi
Ushawahi Kuona Simba na Yanga wanacheza mechi muda mmoja hata kama wapo viwanja tofauti?
Kwan hujui kama pyramid walicheza majuzi na far rabat
Acha uongo bhanaCAF wapuuzi sanaa iweje Pyramid wamecheza saa 9 ya usiku kwa saa za egupt ? Chama kimejawa na rushwa sanaa
Ndio mara kibao tu
Duuuh Kumbe Pyramid wamewakaanga wenzao mishale ya saa 9 Usiku.