Rasmi; Mnigeria Victor Akpan atua Simba S. C

Rasmi; Mnigeria Victor Akpan atua Simba S. C

Victor ni mchezaji mzuri, Hongera Simba kwa usajili wake.
 
Fundi wa mafundi ndy aanzie carrier yake coastal kutoka Nigeria?? Wewe utakuwa mbumbumbu wa kiwango cha PhD hahahaaaa
mafanikio uanzia chini kwenda juu.katoka Caostal anaenda Simba timu bora Africa nafasi ya 12.
 
Huyu kiungo hana thamani ya milioni 100! Kwangu mimi namuona ni mchezaji wa kawaida tu.

Kwa mtazamo wangu, mlitakiwa kutumia kiasi kisichozidi milioni 50 kwa huyu mchezaji! Ila siyo milioni 100 aisee!
dah!/
kwaio tumepigwa mashabiki au Mudi ndo kapigwa?
 
Yanga wanamtaka Aziz Ki kwa dau la 400M wakati Assec Memosa wanatana 700m kumwachia. Sijui pumzi imeshakata?
 
Back
Top Bottom