Unaumia kwa sababu unaikamia sana hela ya kubeti.
Bet kistaarabu si lazima ubet kama siku nafsi haitaki, betia kiasi ambacho hakitokuumiza ukikipoteza.
Mi nilishaachana na betting kitambo maana niliona nilikuwa naelekea kuwa teja. Kuna wakati nilianza kuwa nampiga mashine wife mara chache, na sometimes at midnight naamka namwacha wife kitandani naanza kufatilia mkeka wangu (hasa zile game za usiku wa manane za ligi ya Brazil au Amerika kusini kwa ujumla wake), kisha kesho asubuhi unaenda kazini una hangover ya usingizi. What a shit?