Rasmi naacha kubeti

Rasmi naacha kubeti

Mi nilishaachana na betting kitambo maana niliona nilikuwa naelekea kuwa teja. Kuna wakati nilianza kuwa nampiga mashine wife mara chache, na sometimes at midnight naamka namwacha wife kitandani naanza kufatilia mkeka wangu (hasa zile game za usiku wa manane za ligi ya Brazil au Amerika kusini kwa ujumla wake), kisha kesho asubuhi unaenda kazini una hangover ya usingizi. What a shit?
 
duuh mechi za leo zimechanika kisenge yani huko England mambo si shwari timu ndogo zimewakazia wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
..............
FB_IMG_1576394901750.jpg
 
Back
Top Bottom