[emoji51] [emoji51] [emoji51] Naona mmeanza kutia akili sasaNa kwa upepo huu vijana tufanyeni tu kaz hakuna hela ya bureee..... alafu kamali ni dhambi unakula mara moja unaliwa mara kumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa upepo huu vijana tufanyeni tu kaz hakuna hela ya bureee..... alafu kamali ni dhambi unakula mara moja unaliwa mara kumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukibet ki hisi lazima upigwe mimi huwa nachanganya ligi epl france germn hivyo mfano hapa nasubiri timu moja tu ishinde Maccabi ambayo inaongoza dk 65 wkishinda napiga 96,000 kwa buku 2 nimeshaanza kuzinywe biaduuh mechi za leo zimechanika kisenge yani huko England mambo si shwari timu ndogo zimewakazia wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahondaw ana kazi sana duniani humu ππ
duuh mechi za leo zimechanika kisenge yani huko England mambo si shwari timu ndogo zimewakazia wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapigie ndugu zako simu uwaeleze juu ya huo uamzi wako, na usisahau kumweleza mama yako kama umeacha kubet
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mi nilishaachana na betting kitambo maana niliona nilikuwa naelekea kuwa teja. Kuna wakati nilianza kuwa nampiga mashine wife mara chache, na sometimes at midnight naamka namwacha wife kitandani naanza kufatilia mkeka wangu (hasa zile game za usiku wa manane za ligi ya Brazil au Amerika kusini kwa ujumla wake), kisha kesho asubuhi unaenda kazini una hangover ya usingizi. What a shit?
Mkuu tatizo sio kiasi cha kubeti. Tatizo ni machungu ya kukosa hela uliyotarajia kupiga!Unaumia kwa sababu unaikamia sana hela ya kubeti.
Bet kistaarabu si lazima ubet kama siku nafsi haitaki, betia kiasi ambacho hakitokuumiza ukikipoteza.
hayo machungu ni kwasababu unaikamia hiyo. Yaani ushaipigia mahesabu unasahau kuwa ni betting.Mkuu tatizo sio kiasi cha kubeti. Tatizo ni machungu ya kukosa hela uliyotarajia kupiga!
Matumaini hewa haya ππππ