Rasmi naacha kubeti

Rasmi naacha kubeti

Ft x
Screenshot_20191215-114055.png
 
duuh mechi za leo zimechanika kisenge yani huko England mambo si shwari timu ndogo zimewakazia wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukibet ki hisi lazima upigwe mimi huwa nachanganya ligi epl france germn hivyo mfano hapa nasubiri timu moja tu ishinde Maccabi ambayo inaongoza dk 65 wkishinda napiga 96,000 kwa buku 2 nimeshaanza kuzinywe bia
 
duuh mechi za leo zimechanika kisenge yani huko England mambo si shwari timu ndogo zimewakazia wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapigie ndugu zako simu uwaeleze juu ya huo uamzi wako, na usisahau kumweleza mama yako kama umeacha kubet


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi nilishaachana na betting kitambo maana niliona nilikuwa naelekea kuwa teja. Kuna wakati nilianza kuwa nampiga mashine wife mara chache, na sometimes at midnight naamka namwacha wife kitandani naanza kufatilia mkeka wangu (hasa zile game za usiku wa manane za ligi ya Brazil au Amerika kusini kwa ujumla wake), kisha kesho asubuhi unaenda kazini una hangover ya usingizi. What a shit?
 
Back
Top Bottom