Rasmi: Napiga chini mapenzi

Rasmi: Napiga chini mapenzi

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
91174d28-e99f-410a-a887-1fd7c9936177.jpg


Screenshot_20230510-233754_2.png
 
Leo naapa mbele ya umati kwa jina langu halisi Issa kuwa sitafagilia Mapenzi kwa msoto huu unatosha sama ndugu zangu inatosha

Yesu anifanyie Moyo mpya la sivyo dunia hii itajawa na mbegu zangu ila naomba tu niwe mtu mwema nilizaliwa mwenyewe na nitadanja mwenyewe

Mademu nimewakuta na ninawaacha kama mlivyo msifanye niishi kwa shida mimi

Gily
mshamba_hachekwi
To yeye

Hii ndio lialia yangu ya mwisho tukutane kwenye tech wakuu sijapita kitambo sana baada ya kunogewa na uzushi wa jukwaaa la entertainment

View attachment 2619401

View attachment 2619402
Sawasawa tafuta hela mkuuu kuna machangudoa wazuri sana 😊😊👉👉
 
Back
Top Bottom