Rasmi natangaza kujitoa kuishabikia timu ya Yanga

ndenjii handsome

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
647
Reaction score
706
Mbuzi na simba hatuwezi kaa zizi moja baada ya kuona hili [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Hatimaye nimejitoa naombeni kujua kadi ya uanachama wanairudisha wapi.

Mbuzi na simba hatuwezi kaa zizi moja baada ya kuona hili [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Hatimaye nimejitoa naombeni kujua kadi ya uanachama wanairudisha wapi.

View attachment 2160241

Yanga haina mashabiki mbumbumbu kama wewe. Inawezekana kweli uwe shabiki wa Yanga, halafu jezi tu za timu na wachezaji wake huwajui!!

Uwe na aibu hata kidogo basi.
 
Ukiipenda Yanga lazima uipende na CCM sababu ya rangi zake!
 
Cha kuchekesha ni kwamba mashabiki mnamtukana shabiki mwenzenu [emoji23][emoji23][emoji23]

Mbumbumbu fc huyo. Amejivika tu koti la wananchi. Huwezi kuweka picha ya wachezaji wa KMC, halafu udanganye eti ndiyo wachezaji wa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…